MAFUNZO YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA MAHALI PA KAZI

Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa kilipata mafunzo ya kuzuia na kupambana na rushwa mahali pa kazi mnamo tarehe 12th May 2018, Lengo kuu ni kuwapa mafunzo wanajumuiya ya Mkwawa  juu ya kuzuia na kupambana na rushwa ili kuwezesha upatikanaji wa huduma kwa haki na usawa.